top of page
Maswali Na Majibu
Tafuta na upate majibu ya maswali ambayo unaweza kuwa nayo kuhusu hospitali yetu. Hii inaweza kukusaidia kufikia mahitaji yako mapema.
-
Mnafungua Mida Gani?Tupo Masaa 24 kila siku.
-
Mnatumia Bima gani?Bima tuliokua nazo ni : NHIF ASSEMBLE JUBILEE BRITAM
-
Do you provide Inpatient services?Yes. Our hospital serves to admit patients. 24 hours.
-
Mnafanya Kliniki za madaktari bigwa?Ndio tunahuduma za madakatri bigwa wa magonjwa ya : Magonjwa ya Ndani Watoto Akina Mama Mifupa Mfumo wa Chakula Meno Pua, Mdomo na Macho Unaweza ukabonyeza hapo chini kufanya booking mtandaoni za uweze kumuona madaktari husika na shida yako:
-
Mnahuduma ya Kliniki ya Akina Mama na watotoNdio. Tunahuduma ya Mama na watoto. Baadhi ya huduma nyingine sambamba na Clinic hii ni Utoaji wa Chanjo (Jumatatu na Alhamis) Huduma ya Kujifungua kawaida au kwa Upaswaji. Huduma ya kumuona daktari bigwa wa magonjwa ya Akina mama
-
Je mnahuduma za kujifungua kawaida au kwa upasuaji?Ndio, huduma zote mbili zipo. Huduma ya kujifungua kwa kawaida inafanyika kwa bima zote tunazopokea. Huduma ya upasuaji inafanyika kwa bima zote tunazopokea lakini kwa NHIF kuna gharama za ziada itabidi mgonjwa achangie (300000 TSH) Kwa mawasiliano zaidi bonyeza button hapo chini.
![e4fac296-c7f2-418a-8d0c-b180882ddc8f.jpeg](https://static.wixstatic.com/media/48b8c2_d085765c14aa421095fbba2d842337da~mv2.jpeg/v1/fill/w_457,h_257,al_c,q_80,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/48b8c2_d085765c14aa421095fbba2d842337da~mv2.jpeg)
bottom of page